Pata Nakala yako ya Mistape yangu Mpya ya City to City, Sasa iko kwa Mitaa!

0
Kwa wadau wangu wote na wapenda Hip Hop Ile Mixtape yangu ya kijanja  iliyokuwa inapikwa kwa muda mrefu sasa imekamilika na iko tayari kwa ajili ya wewe mdau kuweza kuisikiliza. City to City Nixtape ni mixtape inayoelezea Maisha Halisi ya Mtanzania katika Nyaja tofauti, Katika Mixtape hii kuna ngoma takribani 20 kwa ajli yako wewe mdau wa Tdx Wangex sasa ni muda wa kuwa na Mixtape yako upate kusikia nini nimefanya katika mixtape hiyo kwani utapata kusikia sauti tofauti mbali na Tdx Wangex



 Hii ni katika kukuletea wewe shabiki wangu kitu kipya masikioni mwako, Jipatie nakala yako sasa kwa bei nafuu ya Tsh 5000 tu Mkoa hadi Mkoa tuwasiiane na Mixtape ya City to City itakufikia

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa wadau na  wote waliofanya mpaka mixtape hii kutoka.


Kwa mashabiki wangu wote Support yenu katika kusupport Tanzania Hip Hop Movement  ni muhimu


Mawasiliano:  +255 715 33 44 02 - #Tdx Wangex

Facebook : Tdx Wangex
Instagram : TdxWangex1

0 maoni: