MPANGO WA MJINI NA MPANGO MZIMA NI HUU, KWA SASA NI ZAMU YA" CITY TO CITY" - WANGEX ORIGINAL WEAR ..PATA TSHIRT YAKO

0
Hip Hop ni Harakati Tofauti, Hii yote ni katika kuleta Real Movement katika Muziki wa Hip Hop..Ijapokuwa wengi walishafanya, Sisi tunafanya katika Movement zetu.
City to City ni Jina La MIXTAPE Yangu itakayokujia ivi karibuni...Ili kuweza kufanikisha au kuwaweka fans wangu Tayari kwa MIXTAPE Hii Nimeamua kutoa Tshirt Hizi za CITY TO CITY Ambazo zitakuwa zinauzwa kwa Bei ya tsh 15000 TU! 
Aijalishi uko Mkoa Gani -Tanzania na Rangi Gani Unapenda kuwa nayo ikiwa na Brand ya CITY TO CITY na Kama wewe ni Fans wangu na Unasuport Movement Unawezakujipatia Tshirt Hii kwa Bei Niliyoitaja hapo Juu '15000' Kwani timu yangu Imejipanga Vizuri katika kuakikisha mzigo huu wa tshrt unakufikia popote wa ulipo kama utahitaji kuwa na Tshirt ya CITY TO CITY Tuwasiliane kwa Mawasiliano aya hapa chini

+255 754 037 019

+255 715 334 402

+255 716 851 958




0 maoni: