Tazama Video yangu Mpya Hapa 'Njoo kwa Mjanja'
0
Kwanza nianze kwa Kuwasalimu wadau wangu wote, ni muda mrefu umepita tangu niachie video mpya movement ni nyingi katika kuakikisha Hip Hop Inasonga mbele kwa hali yoyote ile na kwa kuonyesha uzalendo na kukubali Harakati zangu katika Music ni vyema ukajipanga kwa kununua Mixtape yangu inayokuja hivi karibuni na itapatikana kwa bei ambayo kila mtu ataweza kumudu na kuinunua.
Tazama video yangu mpya inayoitwa Njoo kwa Mjanja Hapo chini, ni moja ya truck ambayo itapatikana katika mixtape yangu mpya inayokuja hivi karibuni ya City to City
''Kumbuka kuwa maoni yako ni muhimu sana kwangu katika kuakikisha naenda sawa na mashabiki wangu wote''