Picha: Matukio Yanayojiri katika Kijiji Cha Hip Hop - Kurasini ....Wewe ni Msanii Unakaribishwa

0



Wale shabiki zangu wote  muziki wangu kaeni tayari kwan kitu kiakli kinakuja kwa ajili yenu...
mixtape mpya itakayochukua jumla ya nyimbo 50 na itapatikana kwa Bei ya Kawaida amabayo mwanahiphop yeyote yule ata wewe ambaye si shabiki wetu utapata nafasi ya kuweza kuinunua kwa bei poa kabisa

Na hawa ni Baadhi ya wsanii watakao kuwepo katika mixtape hiyo ya ngoma kali ever...Hii ni noma stay Tune kwani Hip Hop Tunayo na tunataka kushare na wewe kupitia Mixtape hii ya "STREET GAME KILA SIKU"

KARIBU KIJIJI CHA HIP HOP UWEZE KUTUONYESHA UWEZO WAKO ...KILA MMOJA ANAKARIBISHWA.....





































0 maoni: