TDX WANGEX KATIKAPICHA NIKIWARUSHA SHABIKI WANGU KATIKA KIJIJI CHA HIPHOP
0
Nikiwa kama mwana HipHop moja ya vitu ninavyovipenda ni kufanya shoo kali ambayo itawapagawisha shabki wangu na ndivyo ambavyo huwaga nafanya ninapopata nafasi ya kushika kipaza huwaga sikosei "NAFANYAGA KWELI"
Picha Hapo chini nikiwarusha fans wangu........
TDX NA FANS WAKE |
Harakati zinasonga hapa k wamapacha, na tdx ndani ya kilinge cha ukoo kijijini beach kurasini. |
TDX NA K WA MAPACHA NIKIWA NA K WA MAPACHA |