PICHA: TDX NIKIWA KATIKA VIKAO VYA KITU KIPYA KWA MASHABIKI WOTE WA HIP HOP NI MIXTAPE KALI...INAKUJA SOOON
0
HAPA NIKIWA NA BADHI YA WADAU TUKIJADILI BAADHI YA MAMBO HUKU MAMODELS WAKIENDELEA KUPAKWA MECK UP KWA AJILI YA PICHA ZA MIXTAPE NA CALENDER |
HAWA NI BAADHI YA WASHIRIKI WATAKAO SHIRIKI N KATIKA MIXTAPE HIYO KALI YA HIP HOP...."STAY TUNE NI NOMA MTU WANGU" |
TUKUPANGA MIPANGO |
HAPA NIKIPEANA HI NA WA TIMU NZIMA |
HAPA NIKIBONGA JAMBO NA MSIMAMIZI WA PROJECT NZIMA |
HAWA NI BAADHI WAREMBO WATAKAO HUSIKA KATIKA MCHAKATO MMZIMA WA MIXTAPE HIYO /...UNAJUA NI VIPI WATAHUSIKAKATIKA MIXTAPE YA HIP HOP ...."STAY TUNE MWANA HIP HOP WANGU POPOTE ULIPO" |
TIMU NZIMA |
TIMU NZIMA |