Picha: Kama kwaida ni Tdx Wangex Nikiwa na Linex katika Pozi

Mtu angu wa karibu linex alikuja kunipa hi..pande za kkoo nikaona si vibaya tukipata picha ya pamoja ya ukumbusho coz Linex ni mtu wangu wa karibu toka Muda mrefu pia tunamipango ya kufanya ngoma kali mimi na yeye....
Picha imetulia
JibuFuta