HII NI KWA FANS WANGU WOOOTE NGOMA MPYA IKO KWA MEDIA ZOTE SASA.. HAPA NIKIWA TAYARI KUISAMBAZA ZAIDI.. ILI IWEZE KUKUFIKIA WEWE SHABIKI WANGU....

0



Hii ni kwa wale wote ambao ni fans wangu nimneachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "DANGER" Ngoma hii imefanyika Chini ya Studio za Bokazy Ent zilizopo Ubungo na Kusimamiwa na Producer Man Dvd uku nikiwa nimempa shavu "SHASHOW" Wa LUNDUNO THE INC

Danger ni ngoma ya kumshawishi ao kumshauri mwingizaji na mtumiaji aachane nazo. xo naomba sapoty yenu washirika na wadau kusambaza huu ujumbe kwa kila mmoja wetu.kwa sababu

0 maoni: