Uzinduzi wa Album yangu ya Jina Langu Halipotei

0

Video Promo kwa ajili ya Show ya uzinduzi wa Album yangu utakaoa fanyika tarehe 20/12/2015 pale CLUB 71 Tegeta Kibaoni Kiingilio ni Tsh 7000/= na album inapatikana kwa bei ya Tsh 5000/=

Tdx Wangex Feat. Kimbunga & Becka Title - Mabadiliko (Official Video)

1
Tazma video yangu mpya , wimbo unaitwa Mabadiliko nikimshirkisha Kimbunga Mchawi na Becka Ttile





Mdau sasa unaweza kupata Mixtape yangu popote pale ulipo Duniani

0
Kwa wale mashabiki wangu watu ambao mko mbali na Dar es salaam pamoja na Arusha, Sasa utaweza kupata Mixtape yako kupitia Mkito hapo utaweza kupata Mixtape nzima ya City to City.

Kwa kuunga mkono harakati za wana hip Hop Tanzania ni vyema ukajipatia nakala yako sasa ua kupata Mixtape nzima upitia mkito kwa bei ndogo ambayo wewe mdau utaweza kuimudu 

Bofya hapa kusikiliza na kununua mixtape yangu mpya ya Cit to City


Pata Nakala yako ya Mistape yangu Mpya ya City to City, Sasa iko kwa Mitaa!

0
Kwa wadau wangu wote na wapenda Hip Hop Ile Mixtape yangu ya kijanja  iliyokuwa inapikwa kwa muda mrefu sasa imekamilika na iko tayari kwa ajili ya wewe mdau kuweza kuisikiliza. City to City Nixtape ni mixtape inayoelezea Maisha Halisi ya Mtanzania katika Nyaja tofauti, Katika Mixtape hii kuna ngoma takribani 20 kwa ajli yako wewe mdau wa Tdx Wangex sasa ni muda wa kuwa na Mixtape yako upate kusikia nini nimefanya katika mixtape hiyo kwani utapata kusikia sauti tofauti mbali na Tdx Wangex



 Hii ni katika kukuletea wewe shabiki wangu kitu kipya masikioni mwako, Jipatie nakala yako sasa kwa bei nafuu ya Tsh 5000 tu Mkoa hadi Mkoa tuwasiiane na Mixtape ya City to City itakufikia

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa wadau na  wote waliofanya mpaka mixtape hii kutoka.


Kwa mashabiki wangu wote Support yenu katika kusupport Tanzania Hip Hop Movement  ni muhimu


Mawasiliano:  +255 715 33 44 02 - #Tdx Wangex

Facebook : Tdx Wangex
Instagram : TdxWangex1

Song: Tdx Wangex ft Luley - Njoo Kwa Mjanja

0
Baada ya kuachia Video ya Njoo kwa Mjanja na Kuitambulisha katika media tofauti Nchini sasa ni zamu yaa wewe mdau wangu kudownload Audio ya Njoo Kwa Mjanja buree pasipo Malipo. Kma kweli una Show Love na unapenda kile ninachokifanya katika harakati za muziki na kuendeleza Hip Hop in Tz.

Baada ya Jina langu alaipotei WIMBO NILIOMSHIRIKISHA iBRA DAH hUSTLER  sasa ni zamu ya Njoo Kwa Mjanja






Download  Audio ya Wimbo wangu Mpya wa "Njoo kwa Mjanja" Hapa chini


Tazama Video yangu Mpya Hapa 'Njoo kwa Mjanja'

0
Kwanza nianze kwa Kuwasalimu wadau wangu wote, ni muda mrefu umepita tangu niachie video mpya movement ni nyingi katika kuakikisha Hip Hop Inasonga mbele kwa hali yoyote ile na kwa kuonyesha uzalendo na kukubali Harakati zangu katika Music ni vyema ukajipanga kwa kununua Mixtape yangu inayokuja hivi karibuni na itapatikana kwa bei ambayo kila mtu ataweza kumudu na kuinunua.

Tazama video yangu mpya inayoitwa Njoo kwa Mjanja Hapo chini, ni moja ya truck ambayo itapatikana katika mixtape yangu mpya inayokuja hivi karibuni ya City to City



 ''Kumbuka kuwa maoni yako ni muhimu sana kwangu katika kuakikisha naenda sawa na mashabiki wangu wote''




HII NI KWA AJILI YAKO WEWE NA RAFKI,NDUGU,JAMAA YAKO, NI TAREHE 16 NDANI YA CLUB SHEMSHIZ UKONGA

0
Get ready for tha biggest show named "BILA MIMI SHOW"on saturday 16th, entrance5000 per person,venue;club shemshiz ukonga/g-mboto around mzambarauni bus stand,artists;Makamua,dulayo.Tdx,Chiku keto,

Big jahman,Sha-show& Lunduno the inc and many more,STarting 

time; 8:00 till down,also save yo money for buying products available on dat day to support Tanzania's artist and our art works,don't miss t WOOOTE MNAKARIBISHWA


KWA KUPATA TICKETI YAKO MAPEMA TUWASILIANE KWA NAMBA HIZI HAPA CHINI

+255 754 037 019

+255 715 334 402

+255 716 851 958

+255 654 871 228